Zaiid – Tuserebuke Lyrics

  • Zaiid – Tuserebuke Lyrics

“Tuserebuke Lyrics BY Zaiid”

[Verse 1]
Habari zako minimezipaata tooka mbali ..ey
Leo ndo goma liko uwanjani tooka mwali..ey
Mate nilikumezea kinoma tooka chali..
Katoto jasiri na kana uwezo wa kutoa nyoka ndani
Ey tuserebuke,na tugandane kama kupeeeh
Panda kwa juu,kwa taratibu niache nishukee

READ ALSO:Zaiid – Jesus Walks Lyrics
Nipe nikupe,na waala tusijivungee
Goma linavopigika ndo linavonooga mpaka Kukuchee
Viuno vya chini kwa chini,wengine wanini wanini
Katoto makini makini,nachimba madini madini
chekechaachekechaa
Mwindi unaupekechaa pekecha
Natwanga unapepeta pepetaa
Na wanga wateseka teseka

[Verse 2]
Kata kama kachumbari,sauti kama yazumari
Piga mayowe mpaka wapandwe mapresha na visukari
Hata kama kwenu mbali,nimekuja na motokari
Achana na mabodaboda wanaokungoja utapata ajali
Ah leta manjonjo,napenda ukipinda mugongo
Kwako nimelemaa ndo mana nasimama na hili gongo
Napenda vile unapenda,nakwenda vile unakwenda

Nachenga vile unachenga,na ukizubaa nafunga nalenga
…..wasiyojua kucheizza wanatupigga chabo sisi
Simba nimekamatiyya kaswala nyi bado fisi
Hamuambulii kitu ka pusha vile kwapolisi
Na kakizidi nogewa nabadili mitindo Hapo vipi

[Verse 3]
Nnapotaka Mimi NIHAPO TUU
Kiuno zungusha hata Mara sabini na MACHO JUU
Wapambe waleta nini, NI MAAPOOVUU
Mana goma liko uwanjani wao NI WAACHOVUU
kamwali cheketula CHEKETU
Kamwali cheketula CHEKETU
Aah kamwali cheketulaa
CHEKETU CHEKETU CHEKETU
kamwali cheketula CHEKETU
Kamwali cheketula CHEKETU
Aah kamwali cheketulaa
CHEKETU CHEKETU CHEKETU

[Chorus]
tuserebuke ayee ayee
Tuserebuke ayee ayee
Tuserebuke ayee ayee
Mala mala kamlaaai
Ninapotaka Mimi ni hapo tu
Ninapotaka Mimi ni hapo tu
Mala Mala kamlaai