Zaiid – Jesus Walks Lyrics

  • Zaiid – Jesus Walks Lyrics

“Jesus Walks Lyrics BY Zaiid”

[Verse 1]
Nilipotoka Mimi hawatoki mafala mazee ro
Mkwanza mwenye unit mwenye flow kama d rob
Hizi styles p mwenye mawenge zaidi ya d block
Sauti ya gharama nalalama mithili ya d knob
Machizi wananpima wanavunja mizani
Na Sina masihara ndo navunja utaani
I’m so hardcoal na nauza dukani

READ ALSO:Teeyah – Symphonie Lyrics
Marapa wanondisi nawatunza buchani
Natembea kama maji ju ya maji oh Jesus
Tobo nnalopita naliona wanaziba
Old flow kama jela ya madiba
Wowowo ikahit wanondis hawana figa
Whodat whodat Kendrick ama jcole
Ama Mimi kwa bidhaa nyingi mithili ya k koo
Laylow,shori kama jlo,mi j joo
Ni KO,nakuvunja mbavu kama jmond

[Verse 2]
Bila kolabo ya mtu maarufu nshakuwa harufu
Nanukisha flow tupu kasuku wanajishuku
Marufuku,kunipa kolabo kibwege bwege
Vipi wewe,unalegea ka degedege
Ukikaza unashindwa kumzidi hata shishi bebe
Ni kimbembe,Unalegeza kufata soko
Minakaza minanuna na litanifwata soko
Mimi ni mselaaa,siwezi kwenda jela

Nasaka kihalali na siwezi hata kumbwela
Natoka tamaduni tukichana wanafuata
hawa ndo mafadha kwa watoto wa mashaka
Kichwa kinadata nikiwapa wanadata
Bado mini trapper na mziki unazama chaka
Mwenge nastand ka daladala
Mishe bila idadi Mara bunda Mara ngara
Naswitch kama nura na harakati kama kala
Bila pamba minangoa manzi yako na nna ndala

You may also like...