Sho Madjozi – John Cena Lyrics

Shiii!.. Sho… Madjozi! Unajifanya hunioni labda mimi John Cena Ulinifanya mfungwa wako labda mi ni Madiba Sina plan, sina cash, hata pesa mi sina Eeh ndo maana unanitreati kama nimekuibia Lakini mimi nimekupenda though...