ROOFTOP GANG – Juu Lyrics

  • ROOFTOP-GANG

“Juu Lyrics BY ROOFTOP GANG”

Roof top audio station
Juu top
Kama mimi kioko niko juu, top
Kama nikiwa na wana niko juu, top
Kama uko na nyimbo, fanya song drop
Kama ikiwa na wana
Yeah,

Na mzuka na mzuka na mzuka
Ni mpaka umepitiliza(oyee)
Tusha kinukisha nanangu
Nina plan za kuendea pizza(nafurahi)
Unaeza ukajiona msela
Mavi tukakukimbiza
Kimistari ya miogo ya koko wanangu

Sio ya burger wala pizza
Yeah, me najiona niko top, top, top
Me napenda kuenda top, top, top
Me naweza fanya chap, chap, chap
Me naweza fanya clap, clap, clap
Hee,

Me naweza kuenda chap chap chap
Me nacheka na hizi rap tam tam
Me nawaona tamko ni zam zam zam
Kuwa bado zikiwa si ni zam zam
Yule boy
Yeah its your daddy boo
Wewe ndio unafanya nibaki macho juu
Hey, ni midadi tu

Wanasema you already know what to do
Huu moto gusa uone,
siingizi foko mpaka nichome
Nataka beef yangu tuone
I got a game got the hommies
Roof top, roof top baby
We on top, on top baby
We woun’t stop, we woun’t stop beiby
We hold ’em up, We hold ’em up baby

Mistari inaflow, nivilete
Matokeo ni something amazing
Na kaba sijaja nominated
Na koma nikate washenzi
Am all about the money
Fuck nigga fulani anawaza mapenzi
Na kabla sijaacha kitenzi
Am rollin’ na couple of friends, check
Rooms ziko full, everything you
Beiby wamesha chakaa
Usione tuko kubwa
We knew this niggas wamejaa tamaa
Kila wanapotuona tunagoma
Na pochi limejaa chapaa
Who the fuck you are?
Na kama wewe ni whack me nakukataa

Gang, tuko rooftop, gang gang
Na tutabaki kuwa rooftop, gang gang
Na tutabaki kuwa rooftop, gang gang
Na tutabaki kuwa rooftop, gang gang

Na tutabaki kuwa juu, yeah
Tutabaki kuwa juu, yeah
Tutabaki kuwa juu, yeah
Tutabaki kuwa juu, yeah
Na tutabaki

Magomeni eey
Tandale na mivinje me, eey
Niko chini, eey
Ilala na mabondeni, eey
Kocha na run….
Kocha na run, eey
Sicheki cheki me kiboko
Am bresh bei si yangu vocal,eey
GG he is my coco

Tukizipata si mapoko eey
Natamba, natamba, natamba nagombana nao…
Navimba, navimba, navimba mimi kubwa lao
Eey, am a female gang
Unajiita madapa utamwagika damu

Si ndio rooftop gang
Ngoma kali kwa top ten
Huwezi kunigusa then
Nakamua mpaka hall of fame
Kwenye bajaji, streeti,
Klabu, standi, konte tuko on top
Poli boyz moko cookie zone
If you know how we roll
Obssessed, smoking a blunt
Kabla pomekaje nitakupeach
Na nimesizi and ain’t gon lie
Can’t even tell nuthing than beat
No, no, no rap fooling me chill

Niko na washikaji
We doing our thing
Niko na G
Niko na Pimp T
Niko na Joe Makini
Washikaji wanakuja
Mistari inavuja
Nikama inakuja

But I don’t know
Madem zao, they be like wow
We tell’em we doing tonight I don’t know
Koma na maisha ni high low
We speedin my nigga we riding low
And am upon it and my mind at all
Fuck all these niggas they already know

Mkombozi mwenyezi, yule anaye nipa pumzi
Tangu kuzaliwa kisha akanipa ujuzi
Leo nachana kama ref na mapana
Mpaka wenye majiba wanabaki kuchoma men
Hawaamini kile ambacho wanachokiona
Wanaoniombea maovu, na still nayoyoma

Mbona siwapi pepe huku game inanihitaji
Hawajui mitaa ilisha nivika taji
Najua majibu napigia tu mstari
Sinikajiuliza kitu mpaka najaza jedwali
Funza kwa semi, sijui tamadhali
King wa underground wapashe waweze
habari

Sindio Mr.Officer sijaja kuwashika
Natokea Sinza, still nawakilisha
Rooftop na mitaa yote uya kati
Niko na madogo leo usinishike shati
Gang, tuko rooftop, gang gang

Na tutabaki kuwa rooftop, gang gang
Na tutabaki kuwa rooftop, gang gang
Na tutabaki kuwa rooftop, gang gang

Na tutabaki kuwa juu, yeah
Tutabaki kuwa juu, yeah
Tutabaki kuwa juu, yeah
Tutabaki kuwa juu, yeah
Na tutabaki kuwa Roof top
Gang way, we heading to the to beiby

You may also like...