NiNi – Ninyemelee Lyrics

  • NiNi – Ninyemelee Lyrics

NiNi – Ninyemelee Lyrics

Unanipa amani
Na ndio maana mwingine mi simuoni
Umeniteka amini
Yaani shoka moja mguu chini
Kiwanjani unavyoyamudu
Makeke ndimbani ninakuhusudu
Ndani ndani unavyonitibu
My beiby jamani usiniadhibu
Ninyemelee ninyemelee
Hebu ninyemelee
Nidondoshe dondoshe
Beiby nidondoshee
Nisogelee sogelee
Hebu nisogelee
Nipepelee pepelee

I wanna be your valentine beiby
Valentine
I wanna be your valentine beiby
Nikupe zawadi kedekede
Lemmi be your valentine beiby
Valentine beiby
Lemmi be your valentine beiby
Unipe zawadi
Nawaza kwanini nimechelewa kukujua
Maana raha zote napata kwako
Yaani bado upo na mimi
Kwenye kivuli kwenye mvua
Hata kama hali tete mimi ni wako aah
Ukinishika huku sihemi
Ukinigusa hapa sisemi
Na nikitafuna sitemi
I love you, I love you
Ukinishika huku sihemi
Ukinigusa hapa sisemi
Na nikitafuna sitemi
I love you, I love you

Ninyemelee ninyemelee
Hebu ninyemelee
Nidondoshe dondoshe
Beiby nidondoshee
Nisogelee sogelee
Hebu nisogelee
Nipepelee pepelee
Joto unipepelee
I wanna be your valentine beiby
Valentine
I wanna be your valentine beiby
Nikupe zawadi k
Lemmi be your valentine beiby
Valentine beiby
Lemmi be your valentine beiby
Unipe zawadi
Hebu nisogelee
Joto unipepelee

Ckay – Love Nwantiti Remix Lyrics

:NiNi – Ninyemelee Lyrics

READ ALSO:  Jake Miller – Saved Me Lyrics

You may also like...