Naiboi Ft. Ben pol – Mmoja Lyrics

“Mmoja Lyrics BY Naiboi” Ft. Ben pol Kenya

Shakorobo, shakorobo
Shakorobo, sha sha
Shakorobo, shakorobo
Shakorobo, sha sha
Nishamtamani mmoja, nishamwonaga mmoja
Nishamtakanga mmoja, now is it you?
Nishamtamani mmoja, nishamwonaga mmoja
Nishamtakanga mmoja, now is it you?
Umbo nzuri na tabia, na sura unavutia
Michombizo mara mia, now what to do ooh
Kama salon nagharamia, ka ni ndae nanunua
Mishe mishe anachangia now what to do?

READ ALSO:NF -Time Lyrics

Na basi pole pole twende mami
Nikujue ndani ndani
Mahaba take over mi
Tuwatoke kina nani
Na basi pole pole twende mami
Nikujue ndani ndani
Mahaba take over mi
Tuwatoke kina nani
Nishamtamani mmoja, nishamwonaga mmoja
Nishamtakanga mmoja, now is it you?
Nishamtamani mmoja, nishamwonaga mmoja
Nishamtakanga mmoja, now is it you?

Shakorobo, shakorobo
Shakorobo, sha sha
Shakorobo, shakorobo
Shakorobo, sha sha
Kinoma tu, oooh nikatulia
Nawewe tu, oooh nitafurahia
Eeh, upendo wangu hauna kifani dada
Nipokee nikuweke ndani dada
Siri zetu zibaki ndani dada
Dance for me and you

Na sitachoka, kukupa utakacho
Wewe na mie, pamoja mpaka kifo
Na usichoke kunipa moyo wako
Tuwe pamoja mpaka siku ya mwisho
Nishamtamani mmoja, nishamwonaga mmoja
Nishamtakanga mmoja, now is it you?
Nishamtamani mmoja, nishamwonaga mmoja
Nishamtakanga mmoja, now is it you?

Shakorobo, shakorobo
Shakorobo, sha sha
Shakorobo, shakorobo
Shakorobo, sha sha
Oooh oooh oooh
Eeh eeh

Scroll to Top