Mabantu – Amina Lyrics

  • Mabantu-Jishongondoe-crop

“Amina lyrics BY Mabantu”

Asante God
Kwa kanipa bless
Asante, asente God
Kwa kanipa bread

Ni kweli nilidondoka
Lakini nashukuru uliniokota
Minyororo ya wanga ya kusota
Uliikata yote ukaniondosha

Ukanivua shidaa
Ukanivisha cheo
Ukasema mwanangu
Mi ndo Baba yako leo

Ukanipa chakula
Cha jana na leo
Ukasema nitakuwa
Na nipo hapa leo

Let me thank you na
Aminaa eh aminaa
“Baba God Oh’
Aminaa eh aminaa
“Baba God oh”

Aminaa eh aminaa
“let me thank you na”

Moolah jalal
Wangu Baba
Nilikosa ukanisamehe
Ukasahau
Na hichi kibali
Chako Baba
Waniheshimu wote
Walionidharau

Kuangaika kwa jua
Ilikuwa funzo Baba
Nakushukuru kwa Dua
Ata nikila ugali dagaa

Asante Mungu
Yako turufu
Niliomba maji
Hukuyawekea upupu
Niliomba Nyama
Hukunipa panya buku
Kombolela ukazinga
Me nikabutua

Ukanivua shidaa
Ukanivisha cheo
Ukasema mwanangu
Mi ndo Baba yako leo
Ukanipa chakula
Cha jana na leo
Ukasema nitatuwa
Na nipo hapa leo

Let me thank you na
Aminaa eh aminaa
Aminaa eh aminaa
Aminaa eh aminaa
Aminaa eh aminaa

Nashukuru kwa yote
Aminaa eh aminaa
Kwa yote

You may also like...