KEAM KYM – Bure Lyrics

  • Bure-Lyrics-BY-KEAM-KYM

“Bure Lyrics BY KEAM KYM”

Ooh nina maumivu ya moyo
Ndio sababu kisa niandike huu wimbo
Eeeh nimeshiba mawazo
Naona ni dhahiri niyatoe kwa wimbo
Shida za singer
Mara shida, muda mwingine mapeni
Sina wa kumtegemea
Naona nibaki mwenyewe kitanzi suluhisho

Oooh ila Babu na bibi
Walinifunzaga dini
Aga nikimomba Mwenyezi
Nitapata na vingi
Ai Babu na bibi
Walinifunzaga dini
Ai nikimomba Mwenyezi

Nitapata na vingi
Uhai wanipa(bure)
Pumzi wanipa(bure)
Neema wanipa(bure)
Yesu me nawe
Uhai wanipa(bure)
Pumzi wanipa(bure)
Neema wanipa(bure)
Yesu me nawe milele

Wewe sio mchezo
Hunanga kasoro ooh
Uwepo wako sio wa kasorobo
Husaki nyongo, mtakatifu roho
Yesu Kristo, nakuweka kwa roho
Ufalme wako si utani
Uniongoze kwa kila hali
Unipe uwezo na ujasiri
Nikidhi mahitaji yangu aki

Ufalme wako sio utani
Uniongoze kwa kila hali
Nipe uwezo na ujasiri
Nikidhi mahitaji yangu aki
Babu na bibi
Walinifunzaga dini
Aga, nikimomba Mwenyezi
Nitapata na vingi
Ai Babu na bibi
Walinifunzaga dini
Ai nikimomba Mwenyezi

Nitapata na vingi(yeah yeah)
Uhai wanipa(bure)
Pumzi wanipa(bure)
Neema wanipa(bure)
Yesu me nawe
Uhai wanipa(bure)
Pumzi wanipa(bure)
Neema wanipa(bure)
Yesu me nawe milele

Spread the love