Kassim mganga ft Mbosso – Salima Lyrics 

  • Kassim-mganga-ft.-Mbosso

“Salima lyrics BY Kassim mganga ft. Mbosso”

Salima aeeee
Salima wa mama
Salima pigo zako
Utanitaka lawama

Salima aeeee
Salima wa mama
Salima pigo zako
Utanitaka lawama

Kanijia na kanga
na mafuta ya karanga
anataka nikanda
kitandani kapanda ae
na shuka kajivinga ae
kiuno kakipinda

Salima lawama

Nitakabaruku kama noma iwe noma
tamu ya supu
na nyama zilizonona
Nitakabaruku kama noma iwe noma
Tamu ya supu
Na nyama zilizonona

Mali hiyooo
Itunze hiyooo oh oh oh oh
Mali hiyooo oh mama
Itunze hiyoo oh oh oh mmh

Kalowesha dera ndembendembe
Salima wa mama
Kwa nyuma kichogo madenge
Aki… akichutama

Salima kanipeleka pwani
Kanipeleka Zanzibar
Hadi Tanga kunani
Kunoa kisu ngariba

Utundu uo utundu uo
Utajavunja kitanda
Miguu juu iyoo miguu juu iyoo
Utachanika msamba
Usongo ae
Wa vumbi la kongo ae
Akipinda mugongo aee
Kama ana kibiongo

Nimekuita leo Salima
Tucheze kidumbaki
Neny’emua
Sasa huko wanipitisha wapi?
Utaniua
Sijazoeaa aah

Nitakabaruku kama noma iwe noma
tamu ya supu
na nyama zilizonona
Nitakabaruku kama noma iwe noma
Tamu ya supu
Na nyama zilizonona

Mali hiyooo
Itunze hiyooo oh oh oh oh
Mali hiyooo oh mama
Itunze hiyoo oh oh oh

Utaunguza yeeee
Utaunguza yeee
Utaunguza chungu
Na wali haujishika tandu
Waandazi wanalia jikoni
Maji, mate
Tepetepe, Tepetepe
Tepetepe, Tepetepe

Mi naogopa
Kula vya uwani maji maji
Tepetepe, Tepetepe
Tepetepe, Tepetepe

You may also like...