Diamond Platinumz ft Fally Ipupa – Inama Lyrics

  • Inama-crop

“Inama Lyrics BY Diamond Platinumz ft Fally Ipupa”

Ukudekeza kama mtoto
furaha unafurahia
ghafla ugeuka moto
machozi unalia
mwembamba munene
uwe na pesa kama dangote (Dangote)
penzi alijali masikini
laweza penda mtu yoyote
penzi sio somo
ukasome kwa kitabu
penzi limefanya harmonize
amfukuisha muarabu
penzi yoyoyo

limeleta kwa wanangu vita
siku hizi siwaoni
naishia kuwa like insta
ivoo hasiye kupenda acha nae
anaye kupenda pendana nae
mambo ya stress ayo badae
embu cheza ufurahi
kama song limekolea
‘asa inama na kupinda mgongo’
oooh ho mgongo ngo ngo
‘oya inama (inama baby) basi pinda mgongo’
mgo mgongo ngo
‘asa inama (inama baby) na kupinda mgongo’
kama tungi limekosa
‘oya inama basi pinda mgongo’

ALSO READ: [LYRICS] Billow – Suburbia
asa nioneshe unanyongaje
‘nyonga nyonga kibasikeli’
‘nyonga ka kibasikeli’
‘nyonya kama kibasikeli’

ah kiuno ukifanye bederi
‘nyonga nyonga kibasikeli’
‘nyonga ka kibasikeli’
‘nyonga kama kibasikeli’

nakupenda mototo
‘nyonga nyonga kibasikeli’
‘nyonga ka kibasikeli’
‘nyonga kama kibasikeli’

ata kucheza kagoma
ila kashikwa midadi
‘anaalisha alisha’
anaaliiiiiii
‘anaalisha alisha’

eh bia za kitonga
kachanganya na nyagi
‘anaalisha alisha’
yuko bwii
‘anaalisha alisha’
tilalila
‘anaalisha alisha’

oooh hoo ho oo
‘anaalisha alisha’

You may also like...