Bahati X Danny Gi : Fanya Lyrics

  • Bahati X Danny Gi Fanya Lyrics

Bahati X Danny Gi : Fanya Lyrics

“Fanya Lyrics by Bahati X Danny Gi”

Aaaah Danny Gi mara tena Na Bahati tena,
tena Najua leo utafanya(fanya) Kuliko ulivyo
fanya jana(fanya) Fanya fanya Fanya fanya eeeh
Najua leo utafanya(fanya) Kuliko
ulivyo fanya jana(fanya)
Fanya fanya Fanya fanya
Nina madeni hadi kwa mama mboga
Nina madeni haki leo katanuka Vile naona,

kashaanza kunuka Usiposhuka, baba leo
katanuka(fanya) Natumia storo, bonga Kusema
vile we ni donga Na beat vile
inagonga Hebu sifika kwa hii ngoma
Natumia storo, bonga Kusema vile we
ni donga Na beat vile inagonga Hebu
sifika kwa hii ngoma Natumia storo,bonga

Kusema vile we ni donga Na beat vile inagonga
Ebu sifika kwa hii ngoma Najua leo utafanya(fanya)
Kuliko ulivyo fanya jana(fanya) Fanya fanya
Fanya fanya eeeh Najua leo utafanya(fanya)
Kuliko ulivyo fanya jana(fanya) Fanya fanya

Fanya fanya Nikikuona ata shida zitaona
Nikikuona na vipofu wataona Nikikuona ata shida zitaona
Nikikuona na wagonjwa watapona Baba fanya(fanya)
Natumia storo, bonga Kusema vile we ni donga

Na beat vile inagonga Ebu sifika kwa hii ngoma
Natumia storo, bonga Kusema vile we ni
donga Na beat vile inagonga Ebu sifika
kwa hii ngoma Najua leo utafanya(fanya)
Kuliko ulivyo fanya jana(fanya)

Fanya fanya Fanya fanya eeeh
Najua leo utafanya(fanya)

Kuliko ulivyo fanya jana(fanya)
Fanya fanya Fanya fanya Najua leo utafanya(fanya)
Kuliko ulivyo fanya jana(fanya) Fanya fanya
Fanya fanya Najua leo utafanya(fanya)
Kuliko ulivyo fanya jana(fanya)
Fanya fanya Fanya fanya

You may also like...