Aslay – Nichombeze Jamaica Lyrics

  • Lyrics-Aslay-–-“Nichombeze”-720x340

“Nichombeze Lyrics by Aslay”

Navaa suti, Tai weka sawa (Sawa)
Mtoto lost lost yani kazi na dawa
Kwake sifurukuche yani fire fire
Mtoto ndizi karoti helwa helwa

Mchuma zuri na tali bafana bafana
Ah! nishamsomea dua
Aki-Cheat anagandana (Ananasana)
Kiuno kama dancer wa kigogo
Anamasifa akiinama

Mixer kuongea kimombo
Kama kitoto cha Obama
Kitandani no longo nongo (Ahh..)
Kisafi no tongotongo (Ahh..)

Kapewa undi katoa jambo
Mtoto ni fundi anajua mambo
Sinagatabu Baba wa kambo
Na nunua namvua namvalishaga

Ya habibi, Ya Habibi
Ya hayati, ya hayati
Ya habibi, Ya habibi
Marashi ya moyo
Ahh!

Ya habibi nichombezee
Ya yahati nilegezee
Ya habibi (Ayaya..)
Tuliza mutima wanee

Mashindano mashindano ni mazito
Hili jiko jamaa halishikiki nilamoto
Msuguano ohh! mambo mpwito mpwito
Kiunono ni feni mama kitandani mafuriko

Nasimamia ukucha usiku natetema (Ah! Mama)
Akishika namkuta nashindwaga kuhema
Kazini kurudi narudigi mapema (Ah! Mama)
Naogopa wenyenazo wasije ninyang ang a

Me napata shida mwenzako
Ukitoka pekee yako
Usiniache nitakufa mwenzako
Oh!

Ya habibi, Ya hayati
Ya Habibi marashi ya moyo wangu eeh
Ya habibi nichombeze chombeze
Ya hayati nilegeze legeze
Ya habibi usije nipoteza
Tuliza mutima wangu ehh

Ya habibi, ya habibi
Ya hayati wendo wapekee
Ya habibi ai wewe
Marashi ya moyo wangu eh! ehh!!

Ya habibi nichombezee
Ya yahati nilegezee
Ya habibi (Ayaya..)
Tuliza mutima wangu ehh

Shikamo (Shikamo)
Kuna ubaya gani
Ai baby

You may also like...