AMINI Ft. LINAH – Nimenasa Lyrics

  • AMINI Ft. LINAH – Nimenasa Lyrics

“Nimenasa Lyrics BY AMINI Ft. LINAH”

Wapi hujafika nikupeleke ukashangae
Unguja na Pemba au Lindi kwa Baba na Mama
Huku nyuma bambata nikizama nazama mazima
Unavyosakata kiwanjani kama Maradona
Kwenye mtengo nimenasa
Naji-boost na karanga
Huu mchezo wa karata
Halalai kopa kopa mama

[Both]
Nikilala nakuwaza, nakosa lakufanya
Nabaki guna guna
Nikilala Amini nakuwaza baba
Nakosa lakufanya najisonya sonya

[Amini]
Nikupeleke Mombasa (Aah eeh)
Twende zetu Abuja (Aah eeh))
Kama vipi karaba (Aah eeh)
Ukamuone Okocha (Aah eeh)

[Linah]
Unipeleke Arusha (Aah eeh)
Kama vipi Dodoma (Aah eeh)
Twezetu Msoga (Aah eeh)
Kwa Mzee Jakaya (Aah eeh)
Twende kote utakako nipo nimekuridhia
Kwa Bajaji, Benz, Bhito me nitafurahia
Wajua wazo kwako me mtoto kifua kwako nalea
Wanavunja nazi kesho nisiwepo
Ila kwako nimekolea
Kamera Kamera, Selfie
Kamera Kamera, Selfie
ALSO READ: [LYRICS] DJ Khaled – Big Boy Talk

[Both]
Nikilala nakuwaza nakosa lakufanya
Nabaki guna guna
Nikilala Amini nakuwaza Baba
Nakosa lakufanya najisonya sonya
[Amini]
Nikupeleke Mombasa (Aah eeh)
Twende zetu Abuja (Aah eeh))
Kama vipi karaba (Aah eeh)
Ukamuone Okocha (Aah eeh)

[Linah]
Unipeleke Arusha (Aah eeh)
Kama vipi Dodoma (Aah eeh)
Twezetu Msoga (Aah eeh)
Kwa Mzee Jakaya (Aah eeh)
Kamera Kamera, Selfie
Kamera Kamera, Selfie
Wapi
Kamera Kamera, Selfie
Kamera Kamera, Selfie

You may also like...