AMANI – Upendo Lyrics

  • upendo

“Upendo Lyrics BY AMANI”

No love
There is no love, no love
No love, no love
There is no love
Like your love
Hakuna upendo kama wako Yesu

No love
Like your love
Hakuna upendo kama wako Yesu
Nimetafuta na sijapata
Wa kunipenda kama wewe Yesu
Nimehangaika nikitafuta
Wa kunipenda kama wewe Yesu
Ulitoa maisha yako bure
Ili niwe huru na niishi milele

Hakuna mwingine, anipendaye kama wewe
Ulinipenda hata kabla nijipende…
Ukiwa ndani yangu, nami ndani yako
Hamna hukumu ya adhabu
Ukiwa ndani yangu, nami ndani yako
Hamna hukumu ya adhabu
Nimetafuta na sijapata

Wa kunipenda kama wewe Yesu
Nimehangaika nikitafuta
Wa kunipenda kama wewe Yesu
Upendo wako Yesu ni wa milele
Ulio zidi ufahamu wangu
Upendo tele tele na pia imara
Usio na mwisho wanijaza moyoni
Ukiwa ndani yangu, nami ndani yako
Hamna hukumu ya adhabu
Ukiwa ndani yangu, nami ndani yako
Hamna hukumu ya adhabu
Nimetafuta na sijapata(sijawai pata)
Wa kunipenda kama wewe Yesu
Nimehangaika nikitafuta
Wa kunipenda kama wewe Yesu

There is no love, no love
Your love is unconditional
There is no love, no love
Nobody can love me like you
There is no love, no love
Sijawai ona

There is no love, no love
Nobody, nobody like you
There is no love, no love
Oooh…yeah

There is no love, no love
No one can love me like you
There is no love, no love
Yeah….yeah
There is no love, no love
Sijawai ona

You may also like...